Wimbo mpya wa Dj khalid na wenzake

Wimbo mpya wa Dj khalid na wenzake

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M

Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa kadhaa views zaidi ya million 1
 
Screenshot_20190517-180840.jpeg
 
Simbaaaa mabishoo huniita shem jinsi mademu zao nawapitia....[emoji445][emoji445][emoji445]
 
Unamjua taylor Swift...kaangalie akiweka wimbo ndani ya lisaa unakua na views ngap halafu urudi hapa
 
Halafu kumbe hadi nje wanatembelea kiki manake sio muda mrefu sana tangu Nipsey Hussle afariki

Hii nyimbo itasikilizwa na wengi,ni suala la muda tu
 
Unamjua taylor Swift...kaangalie akiweka wimbo ndani ya lisaa unakua na views ngap halafu urudi hapa
Pale unapoona selena gomez na taylor swift wanamzidi beyonce kwa followers [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndio maana views zetu youtube tunapewa hela mbuzi, ni kama hazina faida hivi kwao youtube.
 
viewers wenyewe mnategemea hadi mond amtukane mama wa watoto wake...wenzio mbele wanaconsistency...huo mziki baada ya miezi sita utakuta viewers million60
 
Huyu jamaa katoa video zaidi ya 4 so zote haziwezi tembea na viewers wengi
 
Back
Top Bottom