Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Pale unapoona selena gomez na taylor swift wanamzidi beyonce kwa followers [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unamjua taylor Swift...kaangalie akiweka wimbo ndani ya lisaa unakua na views ngap halafu urudi hapa
Nenda kaangalie viewers ambao wanao kundi la mushroom
Huyo diamond utamuona cha mdoli
Ova
Duh ni maroon 5 kmbe nmejichanganyaNdo kundi gani hilo mbona sijawai liskia?? Au unamaanisha Marshmello
au huyu bwana mdogo ananunua viewz?!!Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M
Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa kadhaa views zaidi ya million 1View attachment 1100611
[emoji16][emoji16][emoji16]Alikuwa na haraka sana ya kuandika.Swala la muda tu, cheki hii baada ya siku 3, Mond baada ya 30 days bado yupo 6.1MView attachment 1103292View attachment 1103293