johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Halaf ana sura ya kisaniiiiJamaa Anajua
nyimbo hii kuna line za kiutuuzima kabisaaa . kweli wasafi zao baby baby tuIla huyu kaka atafika mbali,,ana kipaji
hahahahha swagger... naona hata NGUO alizokuwa anamvalisha jamaa anavaa yyHalaf ana sura ya kisaniiii
former designer wakeKwani huyo kijana ana uhusiano gani na Diamond?
-Ndumilakuwili-
zinatoka mda wwte akiamuahivi haya madude kwenye meno hutolewa wakati wa kula?..
Alikua akimvalisha nani?daimondhahahahha swagger... naona hata NGUO alizokuwa anamvalisha jamaa anavaa yy
Sent using Jamii Forums mobile app
subiria video ndio utauelewa nahisi utajifunza kitu piaUkifanya vizuri ntakuja usikia so far [HASHTAG]#sinajambo[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app
yes! kuanzia za video hadi za showsAlikua akimvalisha nani?daimond
Kumbe,,halaf akamfukuzia nini
aahaha bwana hata sielewi kiundani.Kumbe,,halaf akamfukuzia nini
Heee aliondoka nalo akaenda nalo kitaa ama?ndio kosa dogo vile jamaniaahaha bwana hata sielewi kiundani.
ila nasikia aliuzia sura gari la mkewe (zari)
Sent using Jamii Forums mobile app