Wimbo mpya wa Z Anto diss kwa Stamina mkali

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Huu wimbo mpya wa Z Anto ambao ni diss kwa stamina ni mkali.

Wimbo unaitwa "Mako stamina "

Mako kinyume ameigeuza kisanii akimaanisha "koma stamina".

Z Anto karudi kwa kiki ya stamina I hope atasikika tena hewani,jamaa ana sauti balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawimbo kazuri. Huwa napenda mwanamuziki aimbe kwa sautu yake halisi bila kubana pua, anaweza imba Hiphop vizuri ajaribu.
 
Ngoma Kali Sana mkitoa ngoma kali kama hizi mbona tu mnarudi kwenye game.
 
Anatoa wimbo baada ya wenzie kuachana ... kweli huyu ma.tako kabisa
 
Bora title ingekuwa MAKO tu kitendo cha kuweka STAMINA ni kutafuta Mileage tu.
 
why udic io ngoma (mako stamina) wakati Z ananyimbo pia ambayo kaidrop ivi karibuni inaitw nichape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…