Daah kwa sisi club bangers hii inakuwa zawadi nzuri sana kwetu sisi kipindi kama iichi karibia na sikukuu .....msanii rayvanny kaachia bonge la ngoma umo ndani yumo na madj wawili mmoja wapo ni dj maphorisa...kichupa kimesimama aisee,video ishatoka leo na unawezacheki youtube mi nimeshindwa tu kuileta link apa