mshamu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 418
- 134
Kwa masikitiko makubwa naomba wizara husika iliangalie hili kwa kuwa unatubagua. Hivi nini maana ya mashine? Inamaana ukiwa na kibamia siyo mwanaume. Juzi siku ya idd mosi nilitoka na demu wangu vizuri na anajua mi ninakibamia sasa wimbo huo ulipopigwa akainuka kucheza huku ananiimbia eti mwanaume mashine.
Niliamua kuondoka bila hata kumuaga aliniudhi sana.
Sasa wale wenye vibamie tuungane kupinga wimbo huu unatudhalilisha sana.
Niliamua kuondoka bila hata kumuaga aliniudhi sana.
Sasa wale wenye vibamie tuungane kupinga wimbo huu unatudhalilisha sana.