heeee! hawatakiwi au!!!!!usihofu kwasasababu huko marekani hao wenye mashine wameanza kupigwa risasi za moto na polisi.
heeee! hawatakiwi au!!!!!
hahahahaah David hahahahahahahzinahisiwa wameficha bastola.
Mnajidhalilisha wenyewe.Kwa masikitiko makubwa naomba wizara husika iliangalie hili kwa kuwa unatubagua. Hivi nini maana ya mashine? Inamaana ukiwa na kibamia siyo mwanaume. Juzi siku ya idd mosi nilitoka na demu wangu vizuri na anajua mi ninakibamia sasa wimbo huo ulipopigwa akainuka kucheza huku ananiimbia eti mwanaume mashine.
Niliamua kuondoka bila hata kumuaga aliniudhi sana.
Sasa wale wenye vibamie tuungane kupinga wimbo huu unatudhalilisha sana.
NJOO upewe mshobobo wa kimasaiMtazidi ku komeshwa, na hivo vi dyudyu vyenu..
Me hii hainihusu
usihofu kwasasababu huko marekani hao wenye mashine wameanza kupigwa risasi za moto na polisi.