Ila kweli nimechungulia tuvyeti nikakumbuka.inaonekana ulikuwajinias huna mda na sherehe.
Ya 6 komaa mwana...piga suti yako kali...ndiyo ya mwisho hiyo... Labda utake sifa za kijinga[emoji13] [emoji13]Sijui nina shida gani. Sijawahi shiriki graduation hata moja toka nianze kusoma na zimenipita sio chini ya 5
Mkuu rohombaya sifanyi kosaYa 6 komaa mwana...piga suti yako kali...ndiyo ya mwisho hiyo... Labda utake sifa za kijinga[emoji13] [emoji13]
Dah.safi sana....Mie ya 6 kuna mrembo aliniambia mie ni handsome....nikajicheki kwenye kioo...nikamwambie aache ujinga[emoji13] [emoji13]Mkuu rohombaya sifanyi kosa
Tehteh....Dah.safi sana....Mie ya 6 kuna mrembo aliniambia mie ni handsome....nikajicheki kwenye kioo...nikamwambie aache ujinga[emoji13] [emoji13]
Na mie usinisahau kwenye mualikoTehteh....
Ila mkuu wee kauzu. Nitakualika kama baunsa wa shughuli
Na mie usinisahau kwenye mualiko
Ubaya sasa sinaga hizo swager mie ni mtu wa kukaa tu nakushangaaHaha...watu kama nyie ni muhimu kwa kushangilia..vigelele..vivijo na nderemo bila kusahau mikatiko na midundiko
Ila suala la kuchangia si haunaga mizungusho eeeh [emoji1].Ubaya sasa sinaga hizo swager mie ni mtu wa kukaa tu nakushangaa
Sinaga aiseee[emoji1]Ila suala la kuchangia si haunaga mizungusho eeeh [emoji1].