Usijali tena sitaki ya mchango mdogoBasi nitaongea na jje's upewe kadi namba moja uje ushangae. hata siku ya honeymoon unakaribishwa kushangaa pia
Hahaha....huu mkwara huu. Usikute wewe ndio wale ofisini suala la michango likianza unahisi kamkojo kaharakaUsijali tena sitaki ya mchango mdogo
Wewe leta kadi maneno mengi ya nini.Mie sio mtu wa sport sportHahaha....huu mkwara huu. Usikute wewe ndio wale ofisini suala la michango likianza unahisi kamkojo kaharaka
ahahah nimecheka.Mimi nakumbuka graduation form 4 ilikuwa ni careless whispers sisahau enzi hizo ndio goma bichi kabisa na nikakumbatiwa kwenye blues hiyo taa zikizimwa kukiwa na kamwanga cha wastani
Sisahau ilikuwa mara ya kwanza kukumbatiwa na mimi kuweka mkono kiunoni sitosahau kamwe
Kwani sijacheza tena blues hadi leo
Ilikuwa 1984 ukipata barua ina kopa la love hulali wiki je wakati huo kukumbatiwa sitasahau mkuu
duh! sipati picha hapo kwenye kidakio aseeee.La saba tuliimba:
"Wavulana wanapenda kumaa-kumaliza shule;
Wasichana wanapenda mboooo-mboga za majani!!!"
Good old days...tukala pilau letu kila mtu akasepa zake.
***ila enzi zangu hakukuwa na graduation ya shule za msingi...damn nimezeeka aisee.
sory bujibuji kumbe ni wa kike?
siku waliyokuimbia mawifi zako siulilia san.
maana huo nao unaumaga.
duh! sipati picha hapo kwenye kidakio aseeee.
na waalimu wakapotezea tu?
I can't you. [emoji119][emoji119]Wewe leta kadi maneno mengi ya nini.Mie sio mtu wa sport sport
Wimbo ni wa kitambo sana... kwa Hayati Mwalimu uliimbwa tu na wala haukutungwa.... kipindi kile vikundi au watu wachache sana ndio waliweza kutunga nyimbo mpya ila wengi walichukua za kale tu na wengine wakaziongezea vikorombezo vichache tu... Asikuambie mtu Wanamusic wengi huwa wanapenda kukopy kazi zilizotayari wao huzivuruga vuruga tu kiaina yao na kuweza kufanikiwa kutoa kitu kikali... au kuharibu ni aina ya ubunifu tu... Asikuambie mtu kutunga nyimbo na kuweza kuiimba huwa ni kazi ngumu sana kwa wakati mmoja na kazi hiyo ikubalike haswa...aiseeeeee mkuu huu wimbo si uliimbwa kwa jayati baba wa Taifa?
sitousahau.
au mliamua kurekebisha vipengele?
aaante ni kweli kabisa hucopy sanaWimbo ni wa kitambo sana... kwa Hayati Mwalimu uliimbwa tu na wala haukutungwa.... kipindi kile vikundi au watu wachache sana ndio waliweza kutunga nyimbo mpya ila wengi walichukua za kale tu na wengine wakaziongezea vikorombezo vichache tu... Asikuambie mtu Wanamusic wengi huwa wanapenda kukopy kazi zilizotayari wao huzivuruga vuruga tu kiaina yao na kuweza kufanikiwa kutoa kitu kikali... au kuharibu ni aina ya ubunifu tu... Asikuambie mtu kutunga nyimbo na kuweza kuiimba huwa ni kazi ngumu sana kwa wakati mmoja na kazi hiyo ikubalike haswa...
Aisee mimi nilikimbia kwenye mahafari kisa waliniweka na binti fulani tufungue mziki sasa mimi na kucheza mziki wapi na wapini wimbo upi hutousahau wakati unaagwa kwenye mahafali ya darasa la saba?
binafsi kuna wimbo huu huwa naumiss hadi nalia nkiukumbukaga.
tthe livingtogether, playing together but time does not arround to stay together×2.