Wanaitwa hot galz ft dully sykesRaha ya tunda unipe nikupe, mapenzi hayataki karaha najua unanipenda mimi mwenzio ninasikia rahaaa" DUH, HUU WIMBO NAUPENDA SANA NA SIFAHAM NI NANI KAUIMBA. ANAEJUA ANIAMBIEEE
Dah mkuu huu wimbo unampata msanii alio uimba niutafute?"funguo nitaipata wapi mlango wangu umejifunga funguo nitaipat wapi"
LongombasDah mkuu huu wimbo unampata msanii alio uimba niutafute?
Ok shukran kiongoziLongombas
Meek mill my lifeNyimbo hutunza historia mbalimbali;taja wimbo ambao ukiusikia unakukumbusha kitu flani.wangu ni;kuku kapanda baiskel wa mr nice,
Hujambo
Kwangu ni bora miaka yote.
Sijambo jirani. Hivi upo?Hujambo
Dah!🤪🤪🤪
Kwangu ni bora miaka yote.