Wimbo wa Adela wa Mjomba Mpoto Una maana gani?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,591
Reaction score
1,616
Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa.
Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!
 
naskia huu wimbo ni maalum tena kwa mkulu wa pale mjengoni yaani jeikei, ni kweli wanaJF?
 
halaf kuna tetesi kuwa jamaa kila akiusikilizaumnamwumiza kicha mno
 
Huyu mjomba anajiimbia mwenyewe, watu hatumwelewi!!
 
tatizo la watz ni lile lile:kujifanya tuna akili sana kuliko wengine. Kwanza Mpoto ni mwoga,ajaribu kuchana wazi kama Roma ataeleweka vizuri. Mafumbo ya nini wakati ujumbe unachelewa kufika?
 
Ndio uzuri wa maswari ya kujitungia mwenyewe, unakuwa na majibu yake tayari umeshayaandaa.

Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa.
Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!

naskia huu wimbo ni maalum tena kwa mkulu wa pale mjengoni yaani jeikei, ni kweli wanaJF?

halaf kuna tetesi kuwa jamaa kila akiusikilizaumnamwumiza kicha mno

eti anataka watz tuwe watu wa kufikiri kwa umakini zaidi na wakati watu maisha yenyewe yameshatulewesha...
kazi kwelikweli

Hiyo ni nyimbo kama nyimbo nyingine tu

aAfadhali umemgundua BABA ,huyu jamaa msanii anaukiza swali anajijibu! .....maudhui ya wimbo anayatafuta msikilaziji,huyo jamaa ana muimba ADELA ,hizo maana nyingine ni zako
 
Nyimbo yenyewe ni hii hapa, ebu isikilize

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom