Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
eti anataka watz tuwe watu wa kufikiri kwa umakini zaidi na wakati watu maisha yenyewe yameshatulewesha...Huyu mjomba anajiimbia mwenyewe, watu hatumwelewi!!
Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa.
Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!
naskia huu wimbo ni maalum tena kwa mkulu wa pale mjengoni yaani jeikei, ni kweli wanaJF?
halaf kuna tetesi kuwa jamaa kila akiusikilizaumnamwumiza kicha mno
eti anataka watz tuwe watu wa kufikiri kwa umakini zaidi na wakati watu maisha yenyewe yameshatulewesha...
kazi kwelikweli
aAfadhali umemgundua BABA ,huyu jamaa msanii anaukiza swali anajijibu! .....maudhui ya wimbo anayatafuta msikilaziji,huyo jamaa ana muimba ADELA ,hizo maana nyingine ni zako