Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Anaandika Afande Sele
Nimeongea tena na Tcra muda huu wanadai kabla ya kuendelea na chochote kwanza nifute huo wimbo popote ulipo.
Ingawa sijajua kosa langu na sijaridhika na makatazo yao.
Wanadai wamepigiwa simu kutoka juu kwamba wimbo haufai kwa maslahi ya nchi. Kuna Wakati Chief Hangaya alishasema Mawaziri Wajiamini.
Waache Tabia ya Kusema MAAGIZO Kutoka Juu. Haohao Wamarekani Wanathamini MUZIKI Kama Uhuru na Haki. Tunataka Kuficha Nini? Kwa Nini Tcra Wasimpe Maandishi ya Katazo Lao, Afande Sele.
Kimsingi Hakuna lugha ya uchochezi, matusi. Wanakwepa nini kumpa katazo la maandishi kwa sheria au kanuni ipi ya NCHI umeivunja kwa wimbo huu?
Katazo la Serikali haliwezi Kuwa Verbal Ila Lazima Liwe written.