Wimbo wa akanana kaile Kona

Wimbo wa akanana kaile Kona

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ndugu zangu wahaya.

WIMBO huu unapendwa sana na WATANZANIA ulikuwa maarufu enzi hizo na mpaka sasa ni maarufu.

1. Naomba history yake.

2.Naomba mashairi yake.

3.Naomba tafsiri yake.

4. Naomba video au audio yake.

Mbarikiwe....

Akanana akanana kaile kooona
Akaileee akailee nikeogoraaaa....!

Superbug.
 
Wimbo huu upigwa kwenye harusi na sio sehemu nyingine yoyote. Akanana kwa kihaya ni ndizi tamu zile ndogo ambazo zikivundikwa uwa zinakuwa na rangi nzuri ya njano. Kwahyo hyo ni lugha ya picha hyo ndizi imetumika kusimbolize Bibi harusi kwa uzuri wake kafananishwa na hyo ndizi.
 
Leo nimejikuta naimba tuu huu wimbo, nikatamani nipate MP3 yake...
Umenikumbusha kipindi hicho very innocent.
 
Wimbo huu upigwa kwenye harusi na sio sehemu nyingine yoyote. Akanana kwa kihaya ni ndizi tamu zile ndogo ambazo zikivundikwa uwa zinakuwa na rangi nzuri ya njano. Kwahyo hyo ni lugha ya picha hyo ndizi imetumika kusimbolize Bibi harusi kwa uzuri wake kafananishwa na hyo ndizi.
Sio uume wa Bwana Harusi umefananishwa na hiyo ndizi?
 
Back
Top Bottom