Ila wapare mna tabia ngumu Sana aisee. Salimia hapo masandareMimi ni mpare wa same kilimanjaro ila WIMBO huu ukipigwa naacha bia yangu naanza kuruka majoooka hukooo
Mimi ni mpare wa same kilimanjaro ila WIMBO huu ukipigwa naacha bia yangu naanza kuruka majoooka hukooo
Ila wapare mna tabia ngumu Sana aisee. Salimia hapo masandare
Jamani 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutake radhi aisee...ulivokua same boys siuliacha watoto masandareIla wapare mna tabia ngumu Sana aisee. Salimia hapo masandare
Sio uume wa Bwana Harusi umefananishwa na hiyo ndizi?Wimbo huu upigwa kwenye harusi na sio sehemu nyingine yoyote. Akanana kwa kihaya ni ndizi tamu zile ndogo ambazo zikivundikwa uwa zinakuwa na rangi nzuri ya njano. Kwahyo hyo ni lugha ya picha hyo ndizi imetumika kusimbolize Bibi harusi kwa uzuri wake kafananishwa na hyo ndizi.