Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?

Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na muda wake, leo ndio nimekubali huu msemo.

Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa na anatafuta back up ya kurudi kupitia Diamond the G.O.A.T.

Unajua, kutokana na hivi Karibuni harmonize kuvuma sana na kuanza kumshindanisha na Diamond the G.O.AT. watanzania walikuwa wamemsahau huyu mzee wetu Alikiba

So kwa huu wimbo Mediocre kweli Kama amemaanisha Basi kweli ni mediocre yenyewe.

Namuomba Diamond the G.O.A.T. akae kimya ili alone aibu mwenyewe maana Diamond alisema hatatoa tena KIKI ko nione tunavyo msahau kwa utopolo huu plus utumbo.

Namalizia kwa kusema ameshazeeka na asitaafu mziki,ameachiwa Diamond the G.O.A.T mwenye Bongo flavor yake.
 
Back
Top Bottom