Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Japo kaimba vijembe...ila ngoma kali kabadilika sana humu Ali ila sijaelewa nini kilimsukuma kuimba yale au majamaa wamemchokoza tena?

#Ntabiri ngoma itashika namba moko on trending kwa sababu kali
 
Japo kaimba vijembe...ila ngoma kali kabadilika sana humu Ali ila sijaelewa nini kilimsukuma kuimba yale au majamaa wamemchokoza tena?

#Ntabiri ngoma itashika namba moko on trending kwa sababu kali
Zuchu akiwa hayupo au...? Kweli wazee ni wengi ule utopolo unasema ngoma Kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Simo jamani arudi Mombasa
 
Diamond si ndo alianza kusema alikiba akacheze na Dada zake kariakooo?

Jamaa nae kajibu kuwa alianza kwenda uko ulaya kitambo hakuna cha ajabu.

Acha chuki
Daaaaaah afu AY asemeje...? Tukubali mzee wetu kaishiwa unachezea wewe miaka 45+ hauna hata pakulala si utopolo huo, Tena wa kiwango Cha PHD, SGR na HD...? [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo diss ya alikiba ni ya zamani alikuwa kaiweka tu alirecord baada ya mondi kumchana kwenye ile fresh remix

Mondi alisema alikiba akacheze na Dada zake kariakoo
Ali nae kajibu kuwa huwa anacheza na Dada yake mondi maana alishamtafuna queen darling enzi.
Alafu akamjibu mondi kuwa kama hiyo ulaya anayosema basi yeye kashaenda zamani mnoo.

Pia kuna sehemu anasema "we unavaa suso me bishop"
Yaani kipindi mondi anauza mitumba yeye alikuwa tiyari anavaa mikato yotee.

Nimeweka mizani sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…