Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

kibakuli ana mashabiki damdam ila anaujinga uliopitiliza
 
Daaaaaah afu AY asemeje...? Tukubali mzee wetu kaishiwa unachezea wewe miaka 45+ hauna hata pakulala si utopolo huo, Tena wa kiwango Cha PHD, SGR na HD...? [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ay katajwa hapa?
Haya basi mondi na alikiba Huyo nani alianza na kutusua muziki mapema.
Yaani unaambiwa kati ya asha na amina amina alienda mapema ,
Wewe unasema je juma je ? Juma kaingiaje?

Alafu innocent dependent acha ujinga ma I'd mengi sio ishu
 
Mediocre = kanjanja
 
Sasa Cha ajabu Nini Kama Zabibu kiba Naye kaliwa so ngoma droo, marekani alienda Mara moja Diamond the G. O. A. T Kama kwao, kuvaa alikiba ndo zero bin sifuri sasa sijui unaseme kuvaa gani maana hajawahigi hata kupendeza.

Diamond The G O. A. T amesema atoa Kiki tena yaani aendelee kupambana na Hali yake, afadhari harmonize kuliko mzee huyo miaka 45+ ubongo umechoka sana.

Now all in all ni vice versa, Diamond The G. O. A. T(Greatest Of All The Time) kiba akalee familia mke atachukukuliwa
 
Alikiba mbona anarudi nyuma badala ya kwenda mbele...au kaona harmonize anataka kuingilia nafasi ya upinzani kwa mondi kaamua awahi kuitetea maana bila kutembea na kiki ya mondi hawa wawili tutawasahau. Soon harmonize nae atakuja na kitu cha kumchokonoa mondi ili amfunike kiba...sasa ni kama wanagombania bwana
 
Hivi jf siku hizi imekuwaje aseeh?
Takataka kabisa
Sitofungua nyuzi za kipumbavu kama hizi tena
Tumeikimbia Instagram now mmehamia huku
 
Kama hujui hiI ndo inawaingizia pesaa
Mabifu ya muziki tu .
Mondi ndo alianza kumsema mwenzake
 
Mods hivi kwanini mnaacha nyuzi za kipuuzi kama hizi na kufungia nyuzi zenye madini kule siasani?

Sasa hapa tunajadili nini .? HiI ndo sababu wakongwe now days wameondoka kidog kupumzika
 
Daaaaaah ko alikiba nae katika watu walioanza kutusua mziki unamuweka jamani.....? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afu kina At, Juma Nature, Abby Skills, Professor Jay...[emoji85][emoji85][emoji85] Naona aibu Mimi jamani.

Yaani kwa mafanikio ya Diamond The . G. O. A. T alikiba anaingia ×1000,yaani mpaka ampite harmonize, rayvanny, marioo, mbosso, zuchu, nandy sio mchezo..... [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ameshazeeka akubali ni empty Head na ubongo wake umechoka, unatuimbia utopolo afu useme msanii mkubwa eti king, Mara narlimisha so akaelimishe ., Ameshindwa hata kuongelea uchaguzi, umasikini unatuletea michambo.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mediocre = kanjanja
Kweli Alikiba now ni wakuimba mapambio na mipasho... [emoji85][emoji85][emoji85]

Kaishiwa eti jamani ,Na kwa hali hii kweli Diamond The. G O. A. T atambuluza kisawasawa mpaka akauze mitumba kariakoo.
 
Abby skills ? AT? Nimeishia hapo.
Wasted sperm hii ..
Usiniquote tena
 
Diamond alisha wapuuza, endeleeni na utoto kutafuta kujulikana kwa kutumia mgongo wa mtu kumepitwa na wakati. Hata hivyo anamaadui kila kona wote wakijaribu bahati zao za kumshusha na wameshindwa kwa uwezo wa Mungu anaepanga ridhiki. Wafanye kazi waache utoto.

==NIMEMALIZA==
 
Hivi jf siku hizi imekuwaje aseeh?
Takataka kabisa
Sitofungua nyuzi za kipumbavu kama hizi tena
Tumeikimbia Instagram now mmehamia huku
Ukijua kusoma na kuelewa ndo urudi Jamii forum inaonekana haujanielewa ok , hata hatutaki utufungulie nyuzi maana zitakuwa za utopolo fc Kama liwimbo ili la kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…