Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo sijauona Youtube wala sifikirii, nasema sitaongeza view pale abaki na utoto wake. Nitausikia wimbo wake baadae redioni/tv/bodaboda ukipigwa.

#TOKOMEZAKIKI
# TOKOMEZA KIKI na taraabu/mipasho/mapambio take eti mediocre [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona unaendelea kuni quote wakati umesema ni sikuquote au maada umeipenda na kuielewa, usione hiyana tumkomboe kingi wetu anazama.
Ilipaswa iishie pale lakini naona unazidi kuniquote tu tufanye ukaushe hapa siwezi poteza muda kama niliopoteza hapa
 
Hawaoni miondoko alivyobadilika wao wanaangalia kamponda nan ilo ndio tatzo wameweka utim kizur kizur tu utim pemben kidogo
Ko majungu ndo kubadilika... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Kwani angebadilika kwa kutoimba majungu tusinge msifu... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]....?

#HATUTOI KIKI.
 
Kweli Alikiba now ni wakuimba mapambio na mipasho... [emoji85][emoji85][emoji85]

Kaishiwa eti jamani ,Na kwa hali hii kweli Diamond The. G O. A. T atambuluza kisawasawa mpaka akauze mitumba kariakoo.
Huyo Mbuzi wako unayemwita Diamond ndo aliyeimba "NAKUFA NADEAD" kwenye wimbo wa KACHIRI.
Ndo huyu huyu tungo zake mwanzo mwisho ni MATUSI tu!!!??

Kwa tungo za namna hii ni nani ambaye ameishiwa mawazo?

Alikiba ni Mfalme wa Bongo Flavour wewe unajua hata Dunia inajua.



The
 
Big YES wakapambane na Hali zao mziki hawauwezi.

#NO KIKI
 
Umeitwa masikini... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana umepaniki, na hii ndo tatizo la mashabiki mbugira sawa dogo.
 
Hivi Alikiba alianza lini hii tabia ya vijembe Mondi alishaachana nayo ye ndo anafuata nyayo[emoji23][emoji23]
 
Alikiba Rest well bana kwa sasa Bongo Fleva Ni Diamond Na Harmonize
 
Chuki?
Ni Mimi au wewe Dada?
Haya panua nikukojoleee sasa
Chuki...?
Ni Mimi au wewe Dada square.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]?
Haya panua nikukojolee square sasa... [emoji1787].

N. B:ukitaka matusi hapa utakimbia mwenyewe maana matusi kigoma ndo chimbuko so relax.
 
Alikiba hii ngoma yake ni ya hovyo,lakini haiondoi ukweli kuwa bado anafanya muziki mzuri..

Interview zake ni pasua kichwa..hajui kujielezea kabisa huyu jamaa
Tatizo sio hafanyi mziki mzuri, tatizo awe anatoa mziki mzuri daily so kwani alishindwa Nini kutoa good musiki, mpaka boko...?
 
Kuna nyimbo za aina nyingi
1.Biashara mara nyingi hizihazina ujumbe wa maana ni zinauzika sababu ya vibes zilizomo, hizi hupendwa zaidi clubs.

2.Burudani, hizi huburudisha, kuliwaza, kufariji, hizi huleta utulivu tu ndani ya mtu.

3. Ujumbe maalum mfano kampeni ya kitu fulani kubring awareness, matangazo ya bidhaa nk
Hapa pia zipo za ujumbe maalum kwa watu maalum zamani watu walikuwa wakitungiwa nyimbo ngomani kama akifanya tukio lililotrend hutungiwa kupewa makavu yake.

Wimbo huu wa mediocre umeangukia kundi la tatu, ni ujumbe maalum, hauna haja ya kutrend wala kuuzwa au kuvunja record zozote, lengo ni moja tu ujumbe uliokuwa ukimkaba mtunzi kwa miaka ufike kwa mlengwa, na kwa masaa haya sita natumaini mlengwa kapata ujumbe wake.
Hatuhitaji kuucheza clubs wala kuupakua utuburudishe maana hauburudishi wala.

King pole kwa kuumia miaka yote umetoa la rohoni.Haki yako ya msingi tunaiheshimu.
 
alichofanya kiba ni kuweka aibu pembeni na kuamua kutafuta kiki kwa bwana almasi maana kashapima upepo kaona nafasi yake inachukulia na mmakonde
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] king au kimba mbona unamix maneno, ssema alikiba ni kimba wa dunia, sasjina la wimbo wenyewe ni mediocre (janjajanja/ujinga) unazania kinachoimba ni Nini...?

Jibu:kinaimbwa ujinga square [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23] mtu unajisifu kwenda marekani, sasa Diamond Nate asemeje jamani maana Kule ni Kama kwake.

#NO KIKI.

DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T wewe na familia pamoja na Ukoo wako nyote mnalijua hili na Dunia pia inalijua sawa dogo langu kasome[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…