Wimbo wa Amber Lulu umetisha. Yupo vizur



Toka hapa na Kingreza chako cha Makongo huu wimbo mzuri.
 
Huyo amber lulu ni nani mjini? Huku Kolomoje Misungwi hatujawahi msikia
 

[HASHTAG]#realniggashit[/HASHTAG] [emoji106][emoji106][emoji106]up!
 
...kwi kwi kwi..unapookoteza ma-'bombastic' ili uonekane unajuuuuua,halafu unamega 'a time when u HERE',
..unaonekana KITUKO tu!
 
Mimi niliusikia mara moja nikaona ni mzuri...
But sikutaka usikiliza tena nisije nikaupenda bure maana amber lulu uwa simpendi.
 
Nyimbo nzuri ila sauti hana. Halafu kama kaandikiwa vile
 
Mi mwenyewe naupenda ukiimbea nasisimka ,pia wimbo wa Waya Johmakini
 
Hiyo video kali sana ila huyo Dada sijui ndo amber lulu sio mwanamuziki bali ni video vixen aliyeingiza sauti juu ya beat na kujaribu kuimba, kamchosha video director bure ila namshukuru kwa kumpa Country Boi airtime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…