Wimbo wa bongo flavor ambao ni bora kwako kwa muda wote

Wimbo wa bongo flavor ambao ni bora kwako kwa muda wote

Azer Zepha

Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
29
Reaction score
39
Funguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
 
Ujue Uzuri wa wimbo huendana na Hisia za muda huo za msikilizaji.

Mfano:-

1. Msikilizaji akiwa Amefiwa atapenda nyimbo za kutia faraja za kupoteza Mpendwa wake. Hapa wimbo bora unaweza ukawa DAZ NUNDAZ ft. Ferooz - KAMANDA

2. Msikilizaji akiwa maeneo flani na mBebez full lavidav hapa wimbo unaweza kuwa NASHINDWA By STARA THOMAS

3. Msikilizaji akiwa na hisia za kujisikia mwamba kidume Hard core sura ngumu, mtu kazi jiwe jiwe hapa muweke wimbo wa MBUPU by WEUSI

4. Msikilizaji akiwa na hisia za furaha ya kuWin jambo flani akajisikia kukata mauno hapa muwekee Abracadabra ya Mopao KOFFI OLOMIDE

5. Msikilizaji akiwa na hisia za kichawa, nyimbo bora zitakua za Captain John Komba


Kwahiyo, Nyimbo zinatupa hisia tofauti tofauti kutokana haki zetu za kimaisha. Hakuna nyimbo bora pekee

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
 
LIsti ya Mixtape za G.H.A.F.L.A bin vuu
Ukipata muda zisikilize utatoka na kitu....

*Ujio wa Mimi na upweke

*Mapishi ya upendo

*Zamani July
 
Funguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
watasema sana - TID ft Naziz, Elimu dunia - Daz Baba, Miss Tanzania - Solo Thang, Tuliza Boli - FA, niko radhi - banana zorrro, Sitorudi - QJ ft Joh Makini
 
mapenz ya mkataba mpaka kufa yamekwishaaaa,,,

nataman kua single,ila .......

huo bwana 😁
 
Back
Top Bottom