Azer Zepha
Member
- Apr 29, 2020
- 29
- 39
Amen lo.
Aslay inaumaFunguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
Utakuwa umeachwa sio bureAslay inauma
Amna napenda biti yake kuliko manenoUtakuwa umeachwa sio bure
Nasikitika nilianza kupenda mziki wa Langa baada ya mwamba kusepa.
Homa ya Dunia wa Solo ThangFunguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
watasema sana - TID ft Naziz, Elimu dunia - Daz Baba, Miss Tanzania - Solo Thang, Tuliza Boli - FA, niko radhi - banana zorrro, Sitorudi - QJ ft Joh MakiniFunguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
Sio kunywa na kumoka urafiki kupeana dili