Wimbo wa Burna Boy ''On the Low" wafika mauzo ya kiwango cha Gold nchini Ufaransa

Wimbo wa Burna Boy ''On the Low" wafika mauzo ya kiwango cha Gold nchini Ufaransa

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana ameweza kupata mafanikio makubwa kuliko msanii yoyote wa Nigeria.

Big up to him. Nini umejifunza hapo au wasanii wetu wajifunze nini hapo?

======

Nigerian Afrobeats and dance-hall music act, Damini Ogulu, popularly known as Burna Boy continues to make waves as the Africa Giant’s hit song “On The Low” has made Gold in France.

Yesterday, Burna Boy was presented with a gold plaque for his 2018 track “On the Low” which appeared on his Grammy-nominated album African Giant.

The track was certified gold in France after being streamed over 15 million times.

The Nigerian musician who is currently on a tour and recently covered GQ Magazine reveals the good news on his Instagram page.

In other news, the Nigerian Grammy nominee, Burna Boy headlines Fresh Island 2020 music festival in Croatia. He secured the spot ahead of his Nigerian counterpart Wizkid, real name Ayo Balogun and American rapper, Dababy.

This is the first time Burna will be headlining an international festival festival which has other top artistes. Recall that in 2019, he had controversial moment when he was listed to perform in Coachella but lamented over his name being written with small fonts.

on-the-low-by-burna-boy-goes-gold-in-france.png

on-the-low-by-burna-boy-goes-gold-in-france-4.png
 
Muziki wetu ni mkubwa sana tukiacha mambo ya team na kusupport kazi zote nzuri. Burna Boy kafanya kazi nzuri pia kapata support nzuri ndo maana kafikia hapo.
 
African giant.....
I have the whole album ...all of the songs are hot....
On the low
The only album i can listen repeatedly in 24 hours , 7 Days a week....1 month... Whole year 😂😂😂😂😂
 
Sisi hata tusiponunua kwanini wasilenge soko la nje. Mbona huyu kauza Ufaransa, au sisi wa kwetu wakipeleka kazi zao Ufaransa ndo wanaziburn.
Soko la nje ukaimbe jeje???
Mjegeje kwa rambo
Nikupakie mkongo

Hata siku moja
Embu sikiliza Album ya african giant uone nyimbo za maana hadi barak obama anasikiliza ....

Namtakia kila la heri auze hadi platnum
 
Mbona jeje ni international song Hadi sasa inamafanikio makubwa imeshika no 1 MTV base Africa ndani ya wiki moja, Ukiachana na hapo imechezwa kwenye vituo vikubwa Kama MTV FRANCE, MTV Brasil,soundcity na pia imeshika no 1 kwenye Top 100 African song na Hadi sasa hiv ina mil 5+ viewers on YouTube na pia imekuwa no 1 on trending siku 12 mfululizo YouTube.Nafikiri wewe sio mfuatiliaji Sana wa music wa bongo na Africa kiujumla Kama umeshindwa kujua mafanikio tu ya nyimbo za wasanii wetu wa bongo.Diamond anafanya vizuri Sana ndio msanii anayeonesha jitihada kiasi kikubwa kuliko wasanii wengine wa bongo ingawa inabidi uongeze zaidi kasi ila wasanii waliobaki ukimtoa diamond bado wamelala.
 
Siwezi fuatilia matusi, copy n paste .... Nafuatilia mziki wa maana ....Mziki wa bongo nimeupa kisogo ...
 
Siwezi fuatilia matusi, copy n paste .... Nafuatilia mziki wa maana ....Mziki wa bongo nimeupa kisogo ...
Ila hapo kwenye copy and paste sio tu wabongo pekee mbona hata burna boy nae anafanya hivyo kwenye nyimbo zake nyingi Kama mfuatiliaji mzuri wa nyimbo zake utaliona Hilo na hata Uzi wake wakucopy nyimbo upo humu jamiiforum
 
Soko la nje ukaimbe jeje???
Mjegeje kwa rambo
Nikupakie mkongo

Hata siku moja
Embu sikiliza Album ya african giant uone nyimbo za maana hadi barak obama anasikiliza ....

Namtakia kila la heri auze hadi platnum
Nimesema walenge soko la nje. Hizo nyimbo ulizotaja hazina hadhi ya kupaa anga la kimataifa.
 
Back
Top Bottom