The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Wao ndo wanaisoma namba kuliko hata wapinzani kwa SasaMimi sio Muumini mkubwa wa nyimbo japo zina faida sana kisiasa.
Napenda sera bora ilani bora na akili kubwa.
CCM WANA NYIMBO ZA KIPUMBAVU SANA.
mala waisome namba.
Mala waseme wanaseme wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupe.
UTOPOLO MTUPU
Media zimezuiwa kuiba mwimbo wowote wa CDMKumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini.
Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta hamasa kubwa sana kwa vijana kuhusiana na tatizo sugu la ufisadi hapa nchini kwetu.
Kwa maoni yangu huu ulikua wimbo muafaka hasa safari hii ili kufuta dhana kwamba chadema ya siku hizi inakumbatia MAFISADI.
Hawa jamaa inje na kiki hamna kituu. Mgombea wao alikuja na kiherehere akidhani atapindua meza asubuhii, matokeo yake watanzania wanamtazama tuuu. Sasa asubirie kipigo cha umbwa mwiziiii tarehe 28.Kumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini.
Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta hamasa kubwa sana kwa vijana kuhusiana na tatizo sugu la ufisadi hapa nchini kwetu.
Kwa maoni yangu huu ulikua wimbo muafaka hasa safari hii ili kufuta dhana kwamba chadema ya siku hizi inakumbatia MAFISADI.
Chadema wimbo unaokuta wakiimba kwa hamasa ni was Bob Marley tu wakikusanya pesaMimi sio Muumini mkubwa wa nyimbo japo zina faida sana kisiasa.
Napenda sera bora ilani bora na akili kubwa.
CCM WANA NYIMBO ZA KIPUMBAVU SANA.
mala waisome namba.
Mala waseme wanaseme wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupe.
UTOPOLO MTUPU