Wimbo wa Chura na siasa zetu. Zingatia maneno mvua, maji, bwawani, kisimani, dada Rukia na kuvunjika ugoko

Wimbo wa Chura na siasa zetu. Zingatia maneno mvua, maji, bwawani, kisimani, dada Rukia na kuvunjika ugoko

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898

Kwenye maneno yafuatayo weka:-

Kisima = nchi.
Mvua = shida/changamoto.
Bwawani = ughaibuni.
Maji = Mali za umma.
Dada Rukia= 1. Mafisadi 2. Waarabu/mabeberu

Kuvunjika ugoko= weka tafsiri yako
 
Back
Top Bottom