Mpe support kijana wa watu wivu hauna tija zaidi zaidi utaishia kuumia roho tu mwenzako ndio huyo anazidi kuchanja mbuga....na wewe fanya yako ya kukopi tutakupa support tu usiogope.
Sampling kwa beat ni kitu cha kawaida after all bongo hakuna beat mpya... kukopi wimbo ndio ishu sio beat
Akiimba mnanda "ooh mswahili"
Akiimba vya kizungu "ooooh kacopy"
Kwani kuna mtu kaibiwaaa?......ni mwendo wa viparaaaaa!
Tell 'Em
Huwezi kusample 16bars braza...hiyo ni copying.... sampling ni tofauti.... unaweza ukachukua kionjo 2bars au 3.... unaendelea .... ila from mwanzo to mwisho.... hiyo siyo sampling.... tafuta pakudanganyia.... tumeshinda sana mastudio brazza...
nakubaliana nawewe asilimia 500% mziki ni ule ule, na hii ndo generation ya sample hizi, ukienda kinyume na hapo kwenye generation hii bas tegemea kukaa njaa.. mfano madee katoka kwenye hip hop kaingia kwaito ambayo amesample beat had style ya kuimba kutoka kwa madiba,Hiyo yote ni kucheck watu wanataka ladha ip ya midundo, na sasa amejenga nyumba full!!
Baeleze hawa bavilaza..bavivu ba kifikiri..
Sampling and copying n paste are two different things..but since wengi wetu ni wavivu kufikiri na kufanya utafiti tunakimbilia kuitana haters..nani ana mhate Diamond??people r supporting his work ndo maana anaongelewa,anafika juu sio kwasababu nyingine bali his FANs including me,u and him n her..#uvivu wa kufikiri ni kama mzigo wa miba!
Ndo hapo sasa umeona eeh... hv watu washawah sikia wanamziki wa raggae wanalalamika wamecopy au kusample beat zao.. maana vionjo vyake ni vilevile ila wimbo na maudhui tofauti..
Mbona hawakuhoji beat ya come over iliimbwa na steve rnb kwenye jambojambo but inajulikana ni raggae vionjo vyake mulemule.. hata beat za dancehall za jamaica ukiskia karibu zote zina fanana.
U'r Diamond fan 100 percent hahaha.ngoja tukuache wengine ma heaters tuu.Akiimba mnanda "ooh mswahili"