Comrades salaam,
Yule Mwanamuziki Machachari Tanzania, East Africa na Africa nzima kwa ujumla, anategemea kushusha heat song alilowashirikisha P. Squire muda wote kuanzia sasa..
Mshindani huyo wa Tuzo za BET ambaye kila dalili za kunyakua Tuzo hiyo zinachungulia mlangoni anategemewa kushusha kitu kikali kuliko NANA, kikali kuliko UTANIPENDA na nyinginezo
Wapenzi wa Muziko mnatakiwa kutega sikio zenu na kuepuka kukaa mbali na Redio pamoja na Tv zenu Simba wa Africa akitegemewa kuunguruma.
Hii ni kwa mujibu wa EAST AFRICA TV
BACK TANGANYIKA