Wimbo wa Diamond washika number moja kwenye radio kubwa Nigeria

Huu wimbo mkali sana....hapa palattt hapa davido hadi raha
 
from tanzania to lagos i will make u famous............
 
..safi sana.inazidi kujitangaza sio kila silku 'wananigeria wananigeria' aaaahh!!
 
Kwan we uko uliko unatafta pesa ili iweje? Mwanaume rijali lazma utafte pesa ili uzifaidi na watoto wazuri... bwana domo kanirithi tabia zangu ndo maana namkubali.
 
from tanzania to lagos i will make u famous............

Hapo ndio alinichefua huyo dogo... Ally Kiba ameimba na R Kelly bado hakutufanya famous aweze huyo dogo wa Abuja?

Ile verse ni dharau Domo alipaswa kuikataa.
 
<p>
</p>
<p>
domo anafanya vizuri sana kwa sasa,namkubali tatizo lake ni moja,kubadilisha wasichana kama nguo kwa sababu ana pesa</p>

as long as haiathiri kazi zake za kimuziki, mwache awabadilishe tu!

kwani wao hawajui kwamba wanabadilishwa mkuu? wao pia wanapenda kubadilishwa ukiona hivyo!
 
Hapo ndio alinichefua huyo dogo... Ally Kiba ameimba na R Kelly bado hakutufanya famous aweze huyo dogo wa Abuja?

Ile verse ni dharau Domo alipaswa kuikataa.
halafu pia ni kama kuna kidharau fulani hivi

bora angesema dar es salaam to lagos, sio Tanzania to lagos! uncomparable kabisa!
 
Msanii yoyote duniani kumega mwanamke ndio silaa yake msanii anakuwa na na ka dem kamoja tu huyo sio msanii wa kweli lazima huwe kama platnum au kama wa kina pdd ma juu kama kujenga ana nyumba kam nne kwa kibongo hapo yupo sawa hacheni awakandamize kitu tena anawatumia kwa kondom ndio mana hawna ongera platnum
 
domo anafanya vizuri sana kwa sasa,namkubali tatizo lake ni moja,kubadilisha wasichana kama nguo kwa sababu ana pesa
Mambo mengine huwezi kumlaumu bhana...unajua kuna namba zingine zkicheza kwenye 18 yako halafu ukazipotezea; wallah mungu anakumiminia mzigo wa madhambi manake una-abuse mautundu yake ya kuumba. Bora uzini akumwagie dhambi za kuzini ambazo karibu wote tunazo kuliko ku-abuse mautundu yake ya uumbaji...trust me, mungu lazima aku-mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…