Mashoo Mashoo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 105
halafu pia ni kama kuna kidharau fulani hivi
bora angesema dar es salaam to lagos, sio Tanzania to lagos! uncomparable kabisa!
Mkuu hilo neno la Dar es salaam lisinge rhyme hapo kwenye hiyo sentence.
Im sure walijaribu, likagoma.
sio lazima useme dar es salam nzima.. kwani ukisema dar hai-rythm?
au lets say ukicreate das-lam to lagos, doesnt it sense?
Pengine, ila watu wa mikoa mingine wangelalamika hawajatajwa.
kwa hio ulitaka atumie do-do-ma ama?
Sijaelewa kwanini umeniuliza hivyo.
Ila nahisi neno Tanzania alilotumia limekaa vyema kwenye nyimbo.
unadhani ni sahihi kufananisha 26 na 1 halafu useme ni sawa?
mkuu si nyimbo tu? Au haimaanishi kuwa itabadili geography yoyote ya hayo maeneo wala ku compare.
Nahisi unakuwa too uptight about it.
hilo haliwezi kuwa applicable kwa wenzetu... they care much about their national identity.
huwezi sema iam taking new york to RUSSIA!!
ama RUSSIA to NEW YORK.. lazima kuna upande mmoja uta-resist kwa kujisikia inferior!
note that sink and think.
Mmhh! Haya, ila sio nchi inapelekwa kwenye mji.
Ni huyo number one mkuu.
Kwa mimi sioni kama ni issue really.
Not that I don't care about my national identity, ila naona sio issue ya kuhusisha national identity, sio national anthem hiyo mkuu.
It has sinked enough.