Wimbo wa Fally Ipupa 'Mayday'

Nakipenda sana kile kipande cha speed up cha HUU wimbo wa mayday kinachotrend TikTok... Ila hichi Og cha mayday Kiko slow sana! Hakina Ile vibe kama cha TikTok .. ama ziko version mbili mkuu!?
 
Nakipenda sana kile kipande cha speed up cha HUU wimbo wa mayday kinachotrend TikTok... Ila hichi Og cha mayday Kiko slow sana! Hakina Ile vibe kama cha TikTok .. ama ziko version mbili mkuu!?
Ile ya TikTok ni nyingine wameedit
 
Nilishawahi kuusikiliza kwa wiki moja mfululozizo asubuhi hadi usiku earphone masikioni bila kubadilisha.
Una addiction flani hivi😀
Kasikilize na zany na Marlene
 
Nilishawahi kuusikiliza kwa wiki moja mfululozizo asubuhi hadi usiku earphone masikioni bila kubadilisha.
Una addiction flani hivi😀
Duh! Aisee, hii hatari hatari!...

Ina maana hata kwenye Ile mizagamuano ya usiku... Headphone masikioni!....

It means fally itakuwa alikukula wiki nzima!....

Maana unazagamuana na mwenza wako kumbe hisia ziko kwa fally ipupa...

Yeye anajua anakunogesha... Kumbe mwenzake wala!... Unazagamuliwa na fally kitandani!

Laiti angejua!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…