Wimbo wa Inama waweka rekodi Afrika Mashariki kwa kuwa na views milioni 2 kwa siku mbili tu

Mamaee jamaa ana kipini puani? [emoji119][emoji119][emoji119][emoji33][emoji33][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Au nae wa kino?
 
Hayo meno mbona kama kashindilia huko ugoro
 
Wenzetu wanafikisha hizo viewes kwa instagram ndani ya masaa tu, huu pia ni mwanzo mzuri natumai nasisi tutafikia hatua hiyo
 
Simbaaaaaaa.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna video moja Kevin Hurt almost ndani ya masaa views mil 8
Wenzetu wanafikisha hizo viewes kwa instagram ndani ya masaa tu, huu pia ni mwanzo mzuri natumai nasisi tutafikia hatua hiyo
 
Ile ngoma aliyoiba na kui sample kutoka Namibia ni ipi? Ndio hii au ile nyingine?
 
Simbaaaaaa...... utasikia ananunua viewers [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…