Ni ngumu sana kupigana vita na komando.
MKUU ni kawaida kabisa kwa wasanii kukopi melody na hii system haijaanza leo hata nje watu wamekopi mfano mdogo unakumbuka nyimbo ya I can ya NAS? jamaa alikopi melody ya Beethoven nyimbo ya No love ya Eminem na Lil wayne walikopy kwa What is Love ya Haddaway nyimbo ya kwanza ya wiz khalifa say yeah kakopi kutoka kwa dutch eurodance group twende kwa mkongwe jay z huyo ndio nyimbo zake kibao tuanze kwa forever young- unaikumbuka nyimbo jamaa aliicopy kama sio kwa bob Dylan basi Bon Jovi au alphavile kati ya hao watatu mwenye data aje anisaidie hapa.... ni nyimbo nyingi nyingi nyingi hata hii on the floor ya jenifer lopez so ku copy melody ni kitu cha kawaida sana katika dunia hii wenyewe wanaita ku sample ila yote ni ile ile na mnaosema kuwa eti Chorus hajabadilisha sidhani kuwa hiyo nyimbo yenu ya kinyakyusa Chorus inasema JOTO HASIRA??
kweli hiyo, hata Anita wa Matonya nao alikopi kwenye nyimbo ambayo ilishakuwepo toka kitambo
hadithi yako inatufundisha nini.?
Kwani Jidd ndo wa kwanza!?? walikopi akina mr Nice, twanga na wengineo... angalia nyimbo za kibongo uone ni ngapi hawajakopi.. mimi namuona Jide ni mbunifu.. au YOTE SABABU YAAA.... SABABU YAAA... NA RUGE MWENYEWE YELELAAAAA.....!!!!
Baba V hebu nifumbue macho Mr.Nice aliwahi kucopy kwa nani na wimbo upi?
Duh kama nice naye aliwahi copy basi bongo noma
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
Usiulize ulichoona we pigia mstalKwa hiyo unamaanisha huyu jamaa ni zombi?
kwahiyo wewe hapa ni GT!!!!!!!
Eti wenye akaunti za mwaka 2013 tuna matatizo!!!!!!!!!
kama umeishiwa maneno huo mda ungekuwa umelima hata nusu ekari!!!!!
unaweza ukawa umejiunga 2006 na bado ukawa unaongea non sense!!!!!!!!!

Nani kasema ni wakikurya? mbona unadandia mbele, itamea. kama ni wakinyakyusa ungeleta hoja kama nimefanya umbea, ulichofanya si umbea? Jipange