Warya_warrior
Member
- Apr 3, 2017
- 38
- 13
NinaoWakuu wa JF
Naomba kwa anae fahamu ule mziki/intro ulikuwa ukipigwa kwenye kipindi cha majira cha rtd anifahamishe nitaupata wapi? Shukran
Ninao
Shukran nyingi kwako ndugu hivi vitu vinavuta hisia unakumbuka siku nzuri za zamani