Wimbo wa kumkashifu Rais Biden unavuma mno Marekani

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Wamarekani washamchoka huyu mzee πŸ˜‚ πŸ˜‚ atafutiwe tu kitanda alale

wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga

Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali

Your browser is not able to display this video.
 
Mzee anasinzia hata mbele ya mgeni wake.. πŸ˜€ πŸ˜€
 
Reactions: Lee
Kwenye democracy ya kweli huko kwetu sisi watu elfu watauliwa kwa Rais mmoja tu.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkuu demokrasia Ni kutukana matusi ? Au Mimi sijui maana ya neno demokrasia?
 
Biden anaparuana na kivuli cha Trump,kila analofanya anataka kulinganisha na mtangulizi wake Trump, sasa hiyo itamfelisha sana..

Kimbunga IDA,vita ya Afghanistan ni presha tosha..
 
Biden anaparuana na kivuli cha Trump,kila analofanya anataka kulinganisha na mtangulizi wake Trump, sasa hiyo itamfelisha sana..

Kimbunga IDA,vita ya Afghanistan ni presha tosha..
Huyu mzee alizingua kwa Afghanistan.
 
Reactions: Lee
Biden anaparuana na kivuli cha Trump,kila analofanya anataka kulinganisha na mtangulizi wake Trump, sasa hiyo itamfelisha sana..

Kimbunga IDA,vita ya Afghanistan ni presha tosha..
Evacuation mission ya Afghanistan ndio amezingua sana,ndio hapo watu wanamlaumu.
watu wanahoji,kama vyombo vya usalama vilijua Taliban watachukua nchi miezi mi 3 kabla,iweje washindwe kuwa na evacuation plan,wakaacha mambo yawe magumu hadi hapo yalipokuwa??...
 
Ila Democratic si afadhali wangemrudisha Obama maana huyu mzee mpaka inafikia hatua anasahau njia ya kwenda kwenye ofic take

Yaani anazidiwa mpaka na mstaafu mwinyi
 
Ila Democratic si afadhali wangemrudisha Obama maana huyu mzee mpaka inafikia hatua anasahau njia ya kwenda kwenye ofic take

Yaani anazidiwa mpaka na mstaafu mwinyi
kwa katiba yao sidhani kama angeweza gombea tena
 
Kwa BIDEN Wamarekani walichemsha.Kwa hali aliyonayo hawezi kwenda na mikikimiki ya Urais.
 
Kuna wimbo wa Dababy-Obama mule Trump alipigwa makofi ambayo ingekuwa ndio mwendazake kaimbiwa basi tungeshuhudia mauaji ya kimbari
 
Biden anaparuana na kivuli cha Trump,kila analofanya anataka kulinganisha na mtangulizi wake Trump, sasa hiyo itamfelisha sana..

Kimbunga IDA,vita ya Afghanistan ni presha tosha..
Na hapo Trump hapewi air time na vyombo vya habari.
 
Biden anaparuana na kivuli cha Trump,kila analofanya anataka kulinganisha na mtangulizi wake Trump, sasa hiyo itamfelisha sana..

Kimbunga IDA,vita ya Afghanistan ni presha tosha..
Wakoloni wenu wanashindana na kuoneshana ubabe nani anaweza kuwatawala watu weusi vizuri. Na ww umekaa hapa ubapretend kuwasifia
 
Ulimwengu haujawahi shuhudia Rais aliyependwa na wananchi wake wote

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…