Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
hongera kwa kuibua hisia za kusoma. kwani watz (including me) hatuna utamaduni wa kujisomea (labda habari za udaku)
unless nimechanganya madawa,au kumbukumbu yangu inani betray ni afadhali habari za udaku kuliko hiki kitabu
Mkuu,ninachojua na ninachofikiri kuwa wewe nawe unajua ni kuwa kitabu hicho okot alikitoa kwa kiingereza.Baadaye ikaja kuongezwa sehemu ya pili ya song of Okolo. Publisher walikitoa hicho cha piliyaani Song of Lawino and song of Okolo wakati huyo mtunzi kesha fariki. Sasa kujua kama kuna nakala ya Kiswahili naomba uwasiliane na ama publisher wa hicho cha kwanza au hicho cha pili. Nakala za hivyo vya kiingereza zinapatikana ktk libraries za mikoa.Natafuta nakala ya kitabu WIMBO WA LAWINO (nakala ya kiswahili).
Mwandishi ni OKOT P' BITEK.
Naomba yeyeyote atakayeweza kunijulisha namana nitakavyo pata nakala hiyo.
Mkuu,ninachojua na ninachofikiri kuwa wewe nawe unajua ni kuwa kitabu hicho okot alikitoa kwa kiingereza.Baadaye ikaja kuongezwa sehemu ya pili ya song of Okolo. Publisher walikitoa hicho cha piliyaani Song of Lawino and song of Okolo wakati huyo mtunzi kesha fariki. Sasa kujua kama kuna nakala ya Kiswahili naomba uwasiliane na ama publisher wa hicho cha kwanza au hicho cha pili. Nakala za hivyo vya kiingereza zinapatikana ktk libraries za mikoa.
Natauta nakala ya kitabu WIMBO WA LAWINO (nakala ya kiswahili).
Mwandishi ni OKOT P' BITEK.
Naomba yeyeyote atakayeweza kunijulisha namana nitakavyo pata nakala hiyo.
Nakumbuka kuisoma hyo version ya kiswahili...Wayback!
Kwa msaada tu nadhan unaweza ukawasiliana na Taasisi ya Ukuzaji Kiswahili(TUKI??) wapo pale udsm.Wana hazina kubwa tu ya vitabu na majarida ya kiswahili.No wonder wakikwambia kuwa they have only the hard copies!
...cha Kiswahili naona ni shida kukipata: Amazon.com: Wimbo wa Lawino: Ombolezo: Okot pBitek: Books
hongera kwa kuibua hisia za kusoma. kwani watz (including me) hatuna utamaduni wa kujisomea (labda habari za udaku)
unless nimechanganya madawa,au kumbukumbu yangu inani betray ni afadhali habari za udaku kuliko hiki kitabu
i take back my words,nilikichanganya na MY DEAR BOTTLE