Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

"una viashiria vya UKOMBOZI" nawe hautaki kukombolewa!!!!. Unatamani ubakie kuwa mateka. Ajabu sana.
 
Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
hata kinachoimbwa humo ndani hukijui 😅😅
 
Punguzeni ulimbukeni,makomborero maana yake baraka.
Ni wimbo wa kwaya wa kikristo na hata Yesu anatajwa ndani yake.

Wanaimba nimehesabu baraka zangu nimegundua ni nyingi kuliko kukosa kwangu..

Ni wimbo wa shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…