Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado yupo naye,ila tatizo la wasanii wetu wanalidhika mapema sana wakishaanza kuendesha vigari basi wamewini.hivi babu Tale alimtosa?
na nyumba mkuu,amechoka nyumba za chini anataka ghorofa.Mama kijacho kapata sababu Tu ya kumburuza mjomba, we mimba gani inachagua gari.
Anaimba,uimbaji wake unaitwa lialia style, na ndio ninachokipenda kutoka kwake.Hivi Tunda huwa anaimba au analia?
Uko sawa mkuu tena huyu jamaa atajulikana zaidiTunda Man inabidi ajiunge kwa Wasafi maana hana jinsi. Kule atapata promo ya kufa mtu.