Wimbo wa 'Mama Kijacho', Tundaman ametisha

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Jamaa nilidhani kashapotea mazima maana kwa mda mrefu hajasikika, ila kwa huu wimbo mpya alioutoa unaitwa 'Mama Kijacho' naamini utamrudisha, audio nzuri, video iko simple inaendana na maudhui, good job!
 
Safi kumpigia promo, lakini mwambie aimbe aache kulialia
 
Duh!huyu mama kijacho balaa mara kakumbuka shule anatamani kuchapwa mimba zina mambo hizi!
 
Mama kijacho kapata sababu Tu ya kumburuza mjomba, we mimba gani inachagua gari.
 
Kwenye video kuna jamaa anacheza kishoga shoga, ameboa.
 
Tunda Man inabidi ajiunge kwa Wasafi maana hana jinsi. Kule atapata promo ya kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…