Wimbo wa Marioo na Barnaba classic, 'Marry me' ni mzuri

Wimbo wa Marioo na Barnaba classic, 'Marry me' ni mzuri

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Habari wakuu, mimi ni mpenzi wa nyimbo zote nzuri. Mwezi Septemba Barnaba na Marioo walitoa wimbo wao unaitwa "Marry Me".

Kwakweli ni wimbo mzuri sana. Unaweza kuusikiliza ukiwa sehemu yoyote na watu wa aina yoyote bila shaka. Nimekaa nausikiliza peke yangu, nikaona siyo mbaya kushirikisha na wadau, maana kizuri kula na mwenzio.
 
Back
Top Bottom