Big dady 11
Senior Member
- May 21, 2023
- 109
- 128
Wakuu ushauskiliza huu wimbo wa marioo uitwao 2025.
Ukiuskiliza huo wimbo ni ameongea mapnzi tu. Akisisitiza kuwa atadumu na mpnz wake Hadi 2030+
Sasa huu wimbo ukiuskiliza kwa upande wa kisiasa utaona unafaa sana kwny kampeni za uchaguz wa 2025.
Mlio karibu na marioo mwambieni kabisa achague upande Kisha aingie studio kumsifia mgombea amtakae kwa kutumia wimbo wake huo wa 2025.
Akifanya hivyo naamini awez kukosa show yoyote kwenye kampeni zijazo za 2025.
KauskiliZe vizur huo wimbo Kisha uje utuambue ni mgombea gani wa uchaguzi mkuu ujao anafaa kuutumia huo wimbo kama wimbo wake wa kampeni😁😁