Wimbo wa Mr. Blue ft Lady JD Sema haupo katika platform zote za music

Wimbo wa Mr. Blue ft Lady JD Sema haupo katika platform zote za music

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda kuweka kazi zake huko?
 
Sema sema sema
Au kuna kitu nimekukosea
Sema sema sema
Sababu mi nataka kujua[emoji441][emoji443]
 
Nenda Insta Page yake ukamuulize maswali yote atakujibu kwa wakati.... hata humu hana akaunti.
 
Ingia mp3 juice, nimetoka ku u download saa ivi
 
Acha uongo! Kuwa mkweli ili usaidiwe!

MR BLUE ft LADY JAY DEE SEMA
Sidhani kama hiyo ni quality ya sound inayotakiwa kama kwako unaona inasikika vizuri it's ok but kwangu hiyo sio quality og ya huo wimbo, kote huko nishazunguka nimeukosa ndio maana nikasema hata Blue mwenyewe hajauupload youtube
 
Ingia mp3 juice, nimetoka ku u download saa ivi
Kote huko nimeshapita but uliopo sio ule og huo ni kama mtu alisikia unaimbwa akaurecord then akauupload kama unajua sound vizuri jaribu kuplay kwenye media yoyote usikilize sound inayotoka
 
Kote huko nimeshapita but uliopo sio ule og huo ni kama mtu alisikia unaimbwa akaurecord then akauupload kama unajua sound vizuri jaribu kuplay kwenye media yoyote usikilize sound inayotoka
Nilijua ni quality mbovu tu hata mi nimesikiliza hauna ladha
 
Back
Top Bottom