Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Mpenzi msomaji jaribu kufatilia wimbo huo mpya ulioimbwa na Mh Temba unaokwenda kwa jina la mtaalam wa Dar kuanzia kiitikio mpaka Verses ameimbwa RC Makonda!
Nimeipenda aina ya uwasilishwaji wa dhamira kwa hadhira kutoka kwa Fanani mh Temba.
Hivi ndivyo wasanii wanapaswa kufikisha ujumbe sio mtu unapasua moja kwa moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda aina ya uwasilishwaji wa dhamira kwa hadhira kutoka kwa Fanani mh Temba.
Hivi ndivyo wasanii wanapaswa kufikisha ujumbe sio mtu unapasua moja kwa moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app