Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
bora angekaa kimya tuUko wapi wimbo. Hatuna muda wa kuanza kuperuzi youtube
hii thread ulikaa na Dada yako kuandika?Mpenzi msomaji jaribu kufatilia wimbo huo mpya ulioimbwana Mh Temba unaokwenda kwa jina la mtaalam wa Dar kuanzia kiitikio mpaka Verses ameimbwa RC Makonda!
Nimeipenda aina ya uwasilishwaji wa dhamira kwa hadhira kutoka kwa Fanani mh Temba.
Hivi ndivyo wasanii wanapaswa kufikisha ujumbe sio mtu unapasua moja kwa moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu nilikuwa na mama yakohii thread ulikaa na Dada yako kuandika?
Thread kama hii ungeweka na wimbo kabisa, au la tuwekee lyrics.
Nimeshauweka mkuu