Wimbo wa mwana ni dongo la Diamond, unabisha?

shuleni kiswahili ulikuwa unapata maksi ngapi mkuu!!....uchambuzi wako ni mzuri sana
 
duh! huu sasa uchonganishi, ila umejitahidi kuwaza
 
iwe kweli au sio kweli, hilo ni jingine kubwa hapa ni uwezo uliouonesha katika kuunganisha dot, pongezi zako kijana
 
We mtoa mada,kumbuka kuwa majungu na fitina sio mtaji..
 
Umenikumbusha Rap genius .com. Jamaa hata intro tu ya wimbo au skit wanaiendea kwa deep meaning lol
 
Umeonyesha uwezo mkubwa sana wakuchambua. Props to you
 
mtu mzima hovyo... uchonganishi tu, huyo alikiba ndo kakutuma au unatafuta kiki... kwa jinsi ulivyokua na akili fupi huo muda ulotumia kuchambua hayo yote ungefanya jambo la msingi,,,,, ujinga ujinga tu tafuta vya kukeep busy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…