Wimbo wa nasimama wa Jide

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Ama kweli duniani kuna watu wazuri wa kubisha au kusemea jambo wasilokuwa na uhakika nalo sijui wamezoea sijui kutaka sifa sijui waonekane nao wajuzi wa mambo ya mujini wanajua wao.

WARUMI kama wewe ni muungwana pamoja na wenzako naomba muombe radhi mana kama miezi kadhERaa nyuma kulitokea izi wenye kichwa cha HABAI....GADNER ANAPOKULA PESA ZA WATU WA JIDE...IMEJIELEZA vizuri sana ulisimama kaka weye kama wewe bdo uliyedhuumu na tukakuelezeasaa maazi waliyokuwa wamevaa ni meupe a mwisho kuna mambo kama ya happybithdayukakazaa hapana ni wimbo wa HISTORIA ukabeba bango..

HAYA sasa wimbo ulishatoka wahusika wameoekana hasa mwishoni hata soni huna umeuchuna tu.
Next time dont INTERFERE.
 
Mbona una haraka sana? Tulia leta kitu kinacho eleweka .. Alafu kuna utaratibu humu habari bila Picha hainogi
 
Kwanza andika vizuri sijakusoma warumi kuja una kesi hapaaa
 
Last edited by a moderator:
Andika kitu kinacho eleweka!
 
Sijaelewa chochote hapa. Kama kuna aliyeelewa anisaidie kunijuza.
Ova
 
Inaelekea una sababu zako binafsi na binamu warumi hakuna kingine sijaelewa ulichoandika zaid ya neno warumi
 
Last edited by a moderator:
Tatizo umeandika wakati una hasira sanaaa...yani inaelekea ulikuwa unatetemeka hadi mwandiko umepindaaa...
Relax mamieee.....and try again later...
 
Embu anza upya...usijal tunakusubiri punguza haraka
 
Kwanza andika vizuri sijakusoma warumi kuja una kesi hapaaa

Hiyo kesi naikumbuka vizuri, na niliongea na dj choka pamoja na msaidizi wa jide wa pale nyumbani lounge, majibu niliyoyatoa niliwasilisha tu kwa niaba yao, sijalewa binamu anaanisha nn
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea una sababu zako binafsi na binamu warumi hakuna kingine sijaelewa ulichoandika zaid ya neno warumi

Mimi mwenyewe nashindwa kumuelewa, angetulia na kutengeneza walau point mbili tatu akaeleweka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…