Zamani hawezag kupuuza aisee
Hii ban imezaliwa na thread hii au kuna nyingine?duh hii thread sijaielewa naona ban tena kweli JF kimuhemuhe.
Mimi mwenyewe nashindwa kumuelewa, angetulia na kutengeneza walau point mbili tatu akaeleweka
Wanafunzi nao watoro siku hiziii