Wimbo wa Ndala Kasheba Dunia Msongamano umezungumzia kabisa tabia ya Watanzania

Ophonso

Member
Joined
Feb 2, 2021
Posts
33
Reaction score
122
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti.

Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau.

Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi nimeshaona maisha nusu nimeshafanya naelekea usemi sasa lazima niwe na utulivu sababu kuishi kwingi ni kuona mengi kuelimisha wanaobaki kuishi kwa HESHIMA.

DUNIA MSONGAMANO KASEMA BABA NIMEONA LEO NAKUBALI MIE.

WENGINE UPENDENDELEA KUFURAHIA WANAPOSIKIA FULANI KAFAA OOH.

KUFA KWA BINADAMU UPANGWA NA NAMUOMBA MWENYEZI ANIPE MAISHA
 
OSS Dukduku. Fredie Ndala Kasheba na kombora la nyuzi dazeni. Umenikumbusha wakina Kabeya Badu, Twahir Twahir na wengineo.

Vv
 
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti.

Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau.

Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi nimeshaona maisha nusu nimeshafanya naelekea usemi sasa lazima niwe na utulivu sababu kuishi kwingi ni kuona mengi kuelimisha wanaobaki kuishi kwa HESHIMA.

DUNIA MSONGAMANO KASEMA BABA NIMEONA LEO NAKUBALI MIE.

WENGINE UPENDENDELEA KUFURAHIA WANAPOSIKIA FULANI KAFAA OOH.

KUFA KWA BINADAMU UPANGWA NA NAMUOMBA MWENYEZI ANIPE MAISHA
Please attach ka mp3 tuburudike
 
Back
Top Bottom