Wimbo wa Ney akiwaponda baadhi ya wabunge kuwaita vilaza, akimtaka Lowassa awe raisi umekaa vipi?

Wimbo wa Ney akiwaponda baadhi ya wabunge kuwaita vilaza, akimtaka Lowassa awe raisi umekaa vipi?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
kama umesikia wimbo mpya wa ney wa mitego....anazungumzia

1.akiponda viti maluumu......

2.akiponda mawazili vivuliii....

3.aonglea gesi ya mtwara

4.akimtaka lowassa agombee uraisi

5.amemponda zitto kabwee...wa chadema kwa kuitelekeza kigoma allstars



huu wimbo umekaa vipi.....jamaa amejiamini vipi
 
mawazili vivuli ndio kina nani........,

namba 3 ulimaanisha nini!!!!!!

sijausikia bado,tuwekee hum kama unaweza...........,
 
Kasahau wale Wabunge waporaji wa viwanja akina Mchungaji Rwakatare afanye remix ili aongeze mistari ya uporaji Viwanja
 
Back
Top Bottom