tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
NakaziaaWizara ya elimu na sayansi na teknolojia yenyewe haikupaswa kumpongeza mwalimu angalau wizara ya tamaduni, sanaa na michezo wangepongeza ingekuwa sawa.
Hapana, wao wizara hiyo kumpongeza mwalimu huyo ni sawa. Sema na wizara ya utamaduni wao wangempongeza Mbosso na mwalimuWizara ya elimu na sayansi na teknolojia yenyewe haikupaswa kumpongeza mwalimu angalau wizara ya tamaduni, sanaa na michezo wangepongeza ingekuwa sawa.
Yuko vizuriWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imempongeza Mwalimu Jao Kalesi wa Shule ya Msingi Kazita, wilayani Muheza mkoani Tanga, kwa ubunifu wa kutumia muziki kufundishia wanafunzi darasani.
Mwalimu huyo ametumia wimbo maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Mbosso Khan, uitwao Pawa, kuingiza maudhui ya kielimu yenye lengo la kuwahamasisha na kuwajengea wanafunzi ari ya kujifunza.
Wizara imesisitiza kuwa sanaa kwa sasa ni nyenzo muhimu katika sekta ya elimu, ikiwemo muziki unaoweza kutumika kama daraja la kufundishia na kuhamasisha wanafunzi kufahamu masomo kwa urahisi na kwa njia ya kuvutia.
Wanafunzi wadhageuka kontenti.Inabidi aonywe, hii tabia ya kuwarecord watoto bila ridhaa ipigwe marufuku
Umemsahau na Mapua.Akiona hivi Domokayaa, bas mtifuano utakua mkali sanaa.
Lol πππππ
Nakaziaa
Tukiangalia juu juu tunaweza tukaona mwalimu yupo sawa.So sweet, mwalimu kaupiga mwingi sana, hapo wanafunzi kila wakisikia wimbo wa PAWA watakua wanaimba kwa hayo maneno ya mwalimu which is very good
Nyampua ndo atakufa kwa preshaa kabisaa.Umemsahau na Mapua.
Wanaweza wakapata madhara gani ya kisaikolojia miaka mitano au kumi ijayo?Tukiangalia juu juu tunaweza tukaona mwalimu yupo sawa.
Je, watoto walikubali kurekodiwa na kuridhia kurushwa katika mitandao?
Mwalimu atapata kick za hapa na pale ila hiyo video inaweza ikawa madhara kwa hao watoto kisaikilojia miaka 10 au mitano ijayo.
Wazazi wa watoto ambao wanajua wamepeleka watoto shule halafu wanaona clip kama hii unafikiri wanajisikiaje?
Naona hilo jambo haliko sawa kurushwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ikitokea watoto/mtoto mmoja amefeli hapo Kuna watu wanaweza wanatumia hiyo clip kuwananga na kuwabagaza.