Wimbo wa Ras Nas bure!!!!

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,726
Wakurugenzi na Wakuu wa JF,

Tunayo ofa ya bure ya wimbo wa "Dar-es-Salaam" uliobeba jina la albamu mpya ya Ras Nas aka Nasibu. Sasa kazi kwenu🙂

Wimbo huu ni mchanganyiko wa rumba na seben.

Ofa hii iko katika lengo la kupromoti albamu ya Dar-es-Salaam, ambayo ni mseto wa rege na mziki wa dansi.

Maoni yanakaribishwa!

Asanteni,
Timu ya Kongoi.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…